Chezea Nokia wewe... Anakula na Wote

Chezea Nokia wewe... Anakula na Wote

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,877
Reaction score
5,446
If u have this u also have Nokia
1379567767131.jpg
 
Hata mimi nina Nokia 1280 kwa tahadhari.

Hongera Nokia kwa hilo.
 
nimekumbuka nokia yangu ya tochi, ya zaman kwel, ilianguka jana ikazima, kuiwasha taa hazkuwaka. Ikawaka tu lakini giza, ni ya muda mrefu lakini ntaikumbuka sana.
 
Mdau umenibamba mbaya kabisa,nina ka iphone kangu 3Gs lakini kanokia ka tochi ndio maneno yote chaji siku 7..dadeki!!nokia ndio habari ya mujini.
 
Kama mpo vijijin sawa but siwezi kutumia hiyo nokia tochi
 
Ha hahhahhah. Umebamba kiukweli maana nnacho ki Nokia made in India kusupport nexus 4
 
serious mkuu.. inamaana huwa mnachomoa line zenu nakuweka humo au ni kwamba huwa mnalaini zaidi ya moja

Husan Laini zaid ya moja alafu umeme wenyewe wa tz huoni faida ukiwa na nokia iyo wapata tochi ya bure hahahaahahahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom