Chezea mmasai!!!!!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chezea mmasai!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Dumisha, Jun 5, 2012.

 1. D

  Dumisha Member

  #1
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masai mmoja alimpeleka mkewe hospital akaambiwa mtoto amekaa nje ya mfuko wa uzazi atoe pesa apasuliwe.Mmasai alichukia akaanza kusema hii mama jinga sana wakati mimi natia anahangaika mara kiuno kusoto mara kulia naambia tulia yeye nasema tia tu hamna sida ona sasa yeye nakosesha mimi shabaha...!
   
 2. N

  Nyuki baby Member

  #2
  Jun 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teeh! Teeh! Kweli kuna mtu na mmsai!
   
 3. DullyJr

  DullyJr JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,035
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Chezea yero weye
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Near by Mwanjelwa Mbeya.
   
 5. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Hahahaha.umenikumbusha,masai alikatikiwa kiuno na dada mmoja basi akauliza nani kamtongoza mwenzie na nan kalipia gesti,yule dada akajibu ni wewe masai basi masai akwambia sasa mbona ww natomba mm
   
 6. J

  JULIUS MBIAJI Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Loo!manesi wajifunze kuwajibu watuuu.
   
 7. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  somo hata kuweka tafsida kidogo huwezi! si vizuri hivyo baa!
   
 8. KML

  KML JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  masai tishabo
   
 9. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wamasai wa mjin ckuiz wanasema,ebu naomba ile kitu inayommesa mwenzake
   
Loading...