Chezea mjesh wewe

Chezea mjesh wewe

THK DJAYZZ

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
2,166
Reaction score
175
Jamaa kapewa adhabu ya kuhamisha tofali 1000 hapa jeshini kwa sababu kapita kwenye geti la jeshi bila kusimamisha gari, baada ya kuhamisha tofali 900 akakumbuka kuwa mkuu wa jeshi walisoma wote msingi hivyo akaenda kuwashtaki wale wanajeshi. Mkuu kuskia hivyo alikasirishwa sana na kitendo kile akamuuliza kama alishafanya adhabu hiyo jamaa akasema kashabeba 900. Mkuu akamwambia basi we zirudishe uendelee na safari zako tu ndugu yangu.
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh, yaani baada ya kubeba tofari 1000 sasa atabeba tofari 1800 :banplease:........... ati nimesemaji.......ooooops..........:ban:...................nooooooo............:focus:
 
Ha h aha h ah hapo kazi ipo doooha hata mahesabu yalifeli hapo!!
PHP:
SAMAHANI LAKINI SAMAHANI
 
Inanikumbusha na ile ya kuchimba shimo,jamaa alipomaliza akaambiwa fukia! Wanajeshi bwana..
 
Teh teh teh teh teh teh teh teh, yaani baada ya kubeba tofari 1000 sasa atabeba tofari 1800 :banplease:........... ati nimesemaji.......ooooops..........:ban:...................nooooooo............:focus:

Near by Iyunga Mbeya
 
Click here if you will not be directed to THK DJAYZ!100%success!
 
kama ni mm namuomba nimalizie tu adhabu yangu ya zamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom