Future president
Senior Member
- Dec 30, 2013
- 144
- 39
Ninaga msichana mmoja ananiumiza bila kujijua, kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi, so nimfuate. Nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda, mlipaji ni mimi hivyo.
Muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda, aaaa mabinti wa mjini noma.
Muda tukiongea tumemaliza anampigia simu bodaboda anaitwa side anaunganisha nilipie usafiri mbele ya boda boda, aaaa mabinti wa mjini noma.