Chezea kingereza wewe...!!

Chezea kingereza wewe...!!

KAMBUNDA

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
79
Reaction score
8
Et kondakta anamwambia dereva "NIULIZIE HUYO MZUNGU KAMA ANASHUKA POSTA" Dereva akajibu, waambie abiria wakusaidie, mimi jino linaniuma.....!!
 
Sasa hapo alishindwa nini si angemuuliza hallow where are you going to bed sheet?
 
kidhungu ni noma,unatakiwa uwe na afya njema.
 
Jamaa aliamua kumtupia mpira dereva baada ya kuona kuwa hakipandi kabsa duuu,,, ni noma at,,,,,,,
 
mbona simpo tu... angesema "post office you bed sheet????"
 
:embarassed2: duh wajameni ngeli ni nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ifike mahali makondakta na madereva wawe wamemaliza kidatu cha nne maana baada ya Obama wengi watakuja
 
Back
Top Bottom