Chezea JK wewe..

kweli vijana tunatakiwa kuombewa kwakweli.
 
Kama huna data kaa kimya mkuu, si vyema kurukia kila jambo.
wakati mwingine ficha ujinga wako

Kwa hiyo kukaimu kitengo ndio data? wenye fikra pevu wanaangalia jambo kwa kina zaidi kujua nini chanzo:fish:
 

Nn tena kwa mkwasa?mwaga ----- mkuu
 
Hatokaa atokee raisi kama huyu ktk historia,
 
Nn tena kwa mkwasa?mwaga ----- mkuu

Nimwage Mara Ngapi? Yule Mjamaa LOFA Kweli Kwani Kagongewa Na Anajua Fika Lakini Bado Anang'ang'ania Tu Kuwa Na Former Mtangazaji Na Hapo Nyuma Nakumbuka Waliachana ILA Bibie Alishaujua Udhaifu Wa Kocha Mume ----- Kamhadaa Jamaa Akarudisha Majeshi Na Hadi Gari Kanunuliwa Na Mama Bahi. Bora Nife Masikini Kuliko KUGEGEDIWA Kama MASTER.
 
JK jisho na tabasamu lote kwa Mindy kasiga,halafu Minde si anafanyia Washington,ilikuwaje akaenda Guinee anakokwenda rAISI?Halafu mama Salma hakuwepo

Ngoja niwahi mabwepande, naweza kukuokota huko

HAhahah natania
 

Ila akifanyiwa yeye mtu anakula mvua maisha yote yeye na wanae. Haki ya nani haya majanga.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
"Usipotaka kuliwa, huli" - JK
 
Tabia Ya MJOMBA Kupenda KUCHOVYA CHOVYA au KUGEGEDA Dada, Mademu Na Hadi Mama Zetu....UNA LINGINE??????
Hata mie napenda kuchovya na kugegeda hao mademu, mashori, mamanzi nk nk..haya nfungulie thread basi?!
 

Kuacha mke mliyezaa naye watoto sio kazi rahisi hivyo kama conscious yako iko kwenye malezi ya watoto. Hayo mengine yatapita tu. Unafikiri yule muimbaji wa injili analia bure??
 
Hii Tabia Hakika Imemfanya Apoteze Kabisa Credibility na Intergrity Yake Na Watu Wanamdharau Mno Kwa Tabia Hizi.
Kwa Wandengereko, Wazaramo, Wakwere ni sifa tena Kuu Mkuu


Huyu mmeambiwa ni mwandishi wa Habari wa Ikulu sasa mnauliza majibu
swali lingine ni yule jamaa wa nyuma mwenye Short sleeve, anakuna kichwa amevaa Press card mkanda wa kijani AMESHTUKIA deal gani UTAJAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…