sokwe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,022
- 1,065
Huyo ndio Super Mario-Balotelli, yaaani wa-Italiano wenyewe wanalikubali ile mbaya hili Jembe Lao!
Wanakubali wapi mkuu! Kila siku wanamfananisha na chimpanzee wa goma.
Huyo ndio Super Mario-Balotelli, yaaani wa-Italiano wenyewe wanalikubali ile mbaya hili Jembe Lao!
Huyo Balotelli asili yake ni Nigeria. ⚽️
0![]()
A fumble in the jungle: Mario Balotelli pushed past England's defence to bring the score to 2-1 for Italy minutes into the second half
Mashabiki ya Timu ya taifa ya England hawana tofauti kama mashabiki wa yimu ya taifa ya Tanzania. Pressure mtindo mmoja