Cheti cha mfamasia kipo (Proprietor wanted)

a man of wisdom

Senior Member
Feb 1, 2017
183
151
Husika na kichwa cha habari,

mimi ni mfamasia niliehitimisha mafunzo ya utarajali katika hospitali mbili tofauti hspa nchini Tanzania yaan Muhimbili National Hospital-Mloganzila pamoja na Ocean Road Cancer Institute zote zikiwa Dar es salaam.

Nasubiri Leseni yangu ya taaluma ambayo inaweza kupatikana around mwez wa nne mwishoni au mwezi wa tano mwanzoni.

Ninahitaji mtu ambae anatamani kufanya biashara ya dawa za binadam niwe msimamizi wa kitaaluma wa biashara yake hiyo,
Akiwa Dar itapendeza zaidi.

Gharama ya cheti(leseni) yangu kwa kusimamia famasi yake ni 1,100,000/= Kwa mwezi.

Ambapo atanufaika kama ifuatavyo
1. Full time supervision of pharmacy according to pharmacy council's act

2. Business Advisory maana binafsi ni mjasiliamali hivyo ntahakikisha nawekeza ujuzi wang na uzoefu wang wa biashara ili mmiliki aweze kuona faida ya kuridhisha katika biashara ya dawa

3.Ikiwa anaanza kufungua famasi mpya basi ni jukumu langu kumtafutia location nzuri na yenye population ya kutosha ili kuwa na uhakika wa wateja.

4.Ikiwa anaanza kufungua famasi,ni jukum langu kufanya designing ya famasi ili iwe ya kisasa zaidi na kuwa ya tofauti hvyo kuvutia wateja wengi zaid na kukuza mauzo.

5.Mmiliki atanufaika na mm kwa kuwepo na clinical appointments za baadhi ya wateja watakaokuwa wanafika katika famasi hyo ( yaan tutakuwa tofauti sana na operating system za famasi ya kawaida kwan nitakuwa ninafanya follow up ya mteja kuanzia anakuja kununua dawa kweny famasi mpk atakapopona kwa kufatilia mlolongo mzima wa dawa tiba atakaokuwa anapata kutoka katika famasi ninayoisimamia sambamba na kumpa ushauri).

6.Kama anaanza biashara au anatamani kuanza biashara ya dawa yaan famasi na hajui pa kuanzia basi ni jukumu langu kufanya hvyo provided tu awe ana pesa ili kunapo hitajika pesa za malipo mbali mbali tufanye hivyo kwa muda.

Nawasilisha,Bei hyo maelewano yapo pia kwahyo usiogope kufika pm au kunipigia au kuni email kwa
simu: 0769939879 au 0692804893
email: kulwankenzule431@gmail.com
 
Wenzako wanakula Hadi 700k
 
Back
Top Bottom