Cheque namba Utumishi wa Umma

aichukui mda mkuu me nmeripoti kazin mwez wa kumi na mbili chek namb nmepata mwez wa kwanza, itakua ufatiliaji wa maafisa utimish ni wa hapo ni mbovu mkuu
 
aichukui mda mkuu me nmeripoti kazin mwez wa kumi na mbili chek namb nmepata mwez wa kwanza, itakua ufatiliaji wa maafisa utimish ni wa hapo ni mbovu mkuu
Member Since: Jun 29, 2013 Messages: 16
Likes Received: 0 Trophy Points: 1
 
Check namba huwa haichukui muda kama ilivyo kwenye suala lako. Na ukiona hivyo, jua Luna tatizo.

Kwa hali ya kawaida Afisa Utumishi anatakia apeleke Hazina taarifa za muajiriwa mpya. Na huko Hazina kuna hatua za kuthibitishwa na hapo ndipo unapewa check number. Hatua hii ikifikiwa, basi na mshahara utakuwa unaingia kwenye akaunti yako.
 
Mkuu ni kweli zinachelewa kama ulishawahi kuajiriwa na serikali ukaacha kazi sehemu moja ukahamia sehemu nyingine lakini ndani ya serikali. Fuatilia hatua zote vinginevyo utasubiri sana
 
Back
Top Bottom