Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Sasa unaanza chepuka uzeeni? Muwe mnaonja Ladha zote ndio mnaowa,,Mi kila sampuli nilipitia na nikaamua kuoa mweusi kidogo na mahips,,,ofcoz tunaendana ,,Michepuko wote anawazidi,,,sisahau Familia mkuu,,
 
long live mchepuko! dah hajakwambia kuzama chunvini maana ukikutana na MTU msafii hutokaa kusahau! raha jipe mwenyewe, yule Jiran pale kwenye duka lake la nguo ndo anamkunjsga akija home hoi ndo sababu akunyime,sasa na were kula vyako
Ovyo kabisaa
 
Hallow wana JF

Labda nianze kwa ufupi,
Ikiwa ni mwaka wa saba tangu nimuoe mke wangu sijawahi hata siku moja kumfahamu mwanamke mwingine, hii ilikuA tangu kuzaliwa kwangu siku mjua mwanamke zaidi yake.

Tumebahatik akua na watoto wanne sasa mke wangu ni mfanyabiashara anamaduka yake ya nguo.
Sifa za mke wangu.
Ni mwanamke mzuri, mweupee anashepu ambayo haifichiki yaani hata wakati huu amezaa bado yuko fiti hatari.

Mahaba.
Mke wangu alikua anayajua mahaba balaa jamani alinifanya nione hii dunia inazungukia mkononi mwangu yaani mpaka na nena kwa lugha kwa utamu.
Sasa uubize wa watoto na kazi hayo yoote naishia kuyasimulia tuu kama zaman ulikua hivi mara vile

Ilipelekea kujihisi kua na tatizo la nguvu za kiume maana nilikua nabembelezea tendo usiku kucha hata mwezi au zaid na nikipewa labda ntoe chozi anihurumie na hapo na pewa moja huku amenuna

Chepuko,
Katika harakati za kukutana na washkaji mbali mbali nakumbuka ilikua tour moja ya kazini kwenda SA nilikutana na dada mmoja mwembamba mweusi aliyetelekezwa na jamaa yake alipokwenda kumtembelea mara ya kwanza huko nchini SA port Elizabeth.

Ilinilazimu kutoa kiasi cha pesa yangu ya safari imsaidie kurudi bongo ingawa mm siku enjoy saana ile tour by the way niliguswa tuu na ile hali yake nliyemkuta nayo.

Baad Ya kurudi bongo alinitafuta tukaonana lakini nia yake ilikua anishukuru nilifurahi kumuona.

Alinieleza angependa anipe nafasi ya jamaa aliye mtenda nichukue mm kwakua na staili mi nilimjibu kua haiwezikani mi ni mme wa mtu,
Japo haikua rahisi kunielewa nilimwambia kama yuko tayari tukapime HIV alafu nimfikirie hilo kwake halikua na shaka tulienda na wote tulikua salama

*Naogopa ngoma vibaya mno hasa nikiangalia watoto angu

Nikajiuliza kama yuko vizuri kwann nisijaribu kuonja wanawake weusi na wasio na chura nione wana raha gani??

Basi siku sita nikachukua Hotel siku ile ile tukaanza kufanya lile tendo jamaaaaani ilibidi wahudumu wa hoteli na mlinzi waje wagonge hodi kwa kelele nilizokua napiga maana nilipewa uwezo wa kwenda round nane 8 siku hio na mitindo isiyoelezeka huku nikimbeba vile nataka jamanii
Uwiiih...

Sasa nimehamA nyumbani kwangu huku kazini nimeomba likizo muke wangu anajuA nimesafiri kikazi kumbe nipo na chocolate baibie dAmu yA moto aliyeniponya upungufuu wa nguvu za kiume.
Wanaume nyie mtachomwa moto si kwa uchepukaji huo.mke wako mwenyewe umemzeesha na ndo maana anakuwa busy kulea wanao.ohoooo mungu anakuona ujue.mwisho wa siku utakuja kujutia unayoyafanya.hakuna laana mbaya Kama ya mke na wazazi mkuuu.akili kumkichwa
 
Sio siri sometime michepuko inatusaidia sana sis wananume! Yan mwanamke ukishamuoa tuu anajisahu kabisaaaaaaaaaa..... na kuzeeka ghafla! Yan kwa bed anaguna tuu, hata kugeuza kiuno tabu! Gusa mchepuko sasa, vita yake kama Prezda kaona jipu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom