Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Sasa wewe mke tangu umemuoa ni miaka 7, watoto wanne ukipiga mahesabu mda mliooana na watoto mlionano inamaana mda mwingi analea hapo hapo ana maduka ya nguo yote anafatilia yeye. Sasa hapo we unategemea nini. Acha ubanafsi kaka.
 
Sasa wewe mke tangu umemuoa ni miaka 7, watoto wanne ukipiga mahesabu mda mliooana na watoto mlionano inamaana mda mwingi analea hapo hapo ana maduka ya nguo yote anafatilia yeye. Sasa hapo we unategemea nini. Acha ubanafsi kaka.
Hata mimi nimeajiriwa na mhindi tena nafasi yenye majukumu pasua kichwa na nikirudi pia nasaidia kukaa na watoto japo tuna ma house mad
 
Dawa za mitishamba za kutibu matatizo ya nguvu za kiume 0744069527
 
Kumbe wapo watu round nane kwao ni kitu cha Ajabu Sana.??

Wanawake mnao olewa na hawa wavulana kazi mnayo..
Mkuu ukiachana na ufuska wa huu jamaa. Ni kwambaa mkuu kuna wanawake hawana mzuka aseeh hadi unajuta kuomba mchezo.
Utakubaliana na mimi kama umecheza game nyingi
 
Usikute mbooga iliingizwa kule kwenye maseke bila ya kujijua,ukajikuta upo kwenye ulimwengu mpya maana nyie mnaojifanya waamifu kwenye mahusiano mna shida sana
 
Sio siri sometime michepuko inatusaidia sana sis wananume! Yan mwanamke ukishamuoa tuu anajisahu kabisaaaaaaaaaa..... na kuzeeka ghafla! Yan kwa bed anaguna tuu, hata kugeuza kiuno tabu! Gusa mchepuko sasa, vita yake kama Prezda kaona jipu!
we sasa ndio umenivunja mbavu zaidi
 
  • Thanks
Reactions: irk
Hahaaa wanaume wote tunapitia maisha haya ukiacha wanaume wale Mapadre na Makadinal wa Kanisa Katoliki..kanyaga mashine Baba jay rose
 
Basi siku sita nikachukua Hotel siku ile ile tukaanza kufanya lile tendo jamaaaaani ilibidi wahudumu wa hoteli na mlinzi waje wagonge hodi kwa kelele nilizokua napiga maana nilipewa uwezo wa kwenda round nane 8 siku hio na mitindo isiyoelezeka huku nikimbeba vile nataka jamanii
Uwiiih...

ahahahahaha,hii paragraph nimeilewa mnoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom