Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Michepuko mitamu lakini inaletaga umasikini jihadhari na hilo.....na ujue pia yupo mwingine pia anaepiga kisela kama wewe unavyopiga kisela....so jihadhari na magonjwa pia,kupima peke yake haitoshi.....kila la kheri
Ukimchungza bata humli ndugu yangu
 
Kumbe kweli bora Uzinzi uanze kabla ya kuoa au kuolewa kuliko ukianza baada namake una wehuka vibaya,haya makelele ya nini kama unachinjwa? raha yako weye inakua karaha kwa wenzio walokodi hapo hotel,unaisikilizia kiasi hicho? ebu fanya Kaka urudi nyumbani fanya pole pole haiondoki hiyoooooooooooooo....ipo..lol
Unajua kuguswaa wewe ??? Acha wewe kunawatu wanautamu
 
long live mchepuko! dah hajakwambia kuzama chunvini maana ukikutana na MTU msafii hutokaa kusahau! raha jipe mwenyewe, yule Jiran pale kwenye duka lake la nguo ndo anamkunjsga akija home hoi ndo sababu akunyime,sasa na were kula vyako
 
  • Thanks
Reactions: irk
piga kelele kwa michepuko yote

Woyoooooooooooooooooooo

ImageUploadedByJamiiForums1470771107.042064.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom