Chepuko lenye "Nguvu za kiume"

Michepuko mitamu lakini inaletaga umasikini jihadhari na hilo.....na ujue pia yupo mwingine pia anaepiga kisela kama wewe unavyopiga kisela....so jihadhari na magonjwa pia,kupima peke yake haitoshi.....kila la kheri
 
Kumbe kweli bora Uzinzi uanze kabla ya kuoa au kuolewa kuliko ukianza baada namake una wehuka vibaya,haya makelele ya nini kama unachinjwa? raha yako weye inakua karaha kwa wenzio walokodi hapo hotel,unaisikilizia kiasi hicho? ebu fanya Kaka urudi nyumbani fanya pole pole haiondoki hiyoooooooooooooo....ipo..lol
 
Kumbe wapo watu round nane kwao ni kitu cha Ajabu Sana.??

Wanawake mnao olewa na hawa wavulana kazi mnayo..
wewe unaweza ngapi? hivi round nane unatafuta nini? mimi mbili tu tusijuane .huko ni kukomoana
 
hahahahahaha hakyanani wanaume mmelaanika sasa si ungetafuta jinsi ya kumpunguzia majukumu mkeo ili arudi kama zamani
 
Pole sana, nisaidie namba za mkeo nimsaidie!
 
Ongera sana ila what goes around turn around. Inawezekana n.a. mkeo nae kampata wakumkuna vizur ndo mana k wako huduma imepungua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…