Cheo ni dhamana, tuwe na busara

Kinachotokea sasa kwa viongozi vijana akina sabaya, makonda n.k. ni fundisho tosha kwa vijana wenye kuwa na ndoto za kuwa viongozi na smbao tyr ni viongozi. Taifa letu lilikuwa linaelekea kuzalisha viongozi wa ovyo wasio na maadili na wasiofuata misingi ya utawala bora. Ni bahati mbaya sana bado sheria na katiba za nchi zinaruhusu ukiukwaji wa misingi ya utawala bora ikiwemo watu kuwekwa gerezani holela n.k. matumizi mabaya ya vyombo vya usalama.
 
Ndio maana Mimi uwa naishi kwa taadhari sana haya maisha haya halafu ukiwa bado kijana unatakiwa kuwa makini sana.

Umefanya jambo la maana kumrushia atabeba madhambi yako yote na atapata amani mpaka kufa kwake hata kama utamsamehe.
 
Ingeundwa team
1. Makonda
2. Mambosasa
3. Muroto
4. Happy
5. Sabaya
6. Chalamila
7. Gambo
8. Madelu
9. Kalamaganda
10. Sabufa
11. Asiyekuwepo
 

Duniani tunatakiwa tutimize wajibu wetu na kusonga mbele. We dont own anything. Na ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke.

Haya uliyoyaandika hayajaisha bado. yanaendelea kutokea hata leo. Baada ya hawa, wengine wataibuka na mambo kama hayo au tofauti. Pengine sasa mambo yatarudi kivingine...kwa mfano, wapigaji watarudi tena kwa kasi. Tender za umma zitaanza kugombewa kwa vimemo maana kila zama na nabii wake. Au nidhamu ikawa hakuna. Binadamu hatuishiwi na viroja...na Baadae tena atarudi nani na atapambana na nini
 
Waliweka tumaini lao kwa waganga wakiamini ndumba ndo KILA kitu Kwamba Mungu wetu amesinzia.
Awakujua Mungu wetu usikia maombi ya wengi yafananayo yaombwapo kwa unyoofu sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Ingeundwa team
1. Makonda
2. Mambosasa
3. Muroto
4. Happy
5. Sabaya
6. Chalamila
7. Gambo
8. Madelu
9. Kalamaganda
10. Sabufa
11. Asiyekuwepo
Huwa nawakubali sana waislamu wao huwa awaumizi wala kukomoa watu,wanajua kesho yao.
 

Sasa wewe unatafauti gan na mfu? kinachokutafautisha kati yako wewe na mfu ni mda tu, na ipo sku watasema ni Fundi pia
 
Giza halitoweza shinda Nuru.Batili Katu haiwezi ishinda haki.
. Hakuna utekaji
. Kubambikwa makosa
. intellegencia za police kuzuia viashiria
. wasiojulikana wapo likizo milele
.Wimbo wa kuwananga mabeberu huku wakiomba msaada nyuma ya maiki.
. Propaganda feki za kula mahindi choma
. Uzalendo feki kama kichaka cha kufichia uhalifu in bashite and sabaya style
.kuuza sura kwenye camera kushindana kutoa matamko
.Kupita bila kupingwa kumekufa chali
.
 
kwani makonda bado tu hajanyea ndoo
 
Sasa hapo Mungu anahusikaje?

Ccm itaendelea kutawala hii nchi hata miaka 100 ijayo maana ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.

Hakuna tatizo CCM IKIWEZA kutawala hata milele. Wala hakuna haja ya kuwaletea dharau Watanzania. Ukuu wa Mwenyenzi Mungu ni wa kipekee na haufanyiwi dhihaka.

Nani alitarajia Mzanzibari mwingine kuwa Rais wa JMT so soon? Aliyewezesha hilo ni kwa ujanja au ujinga wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…