Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Kwa hiyo CCM inatawala kwa sababu watu wanaotawaliwa ni wajinga?Sasa hapo Mungu anahusikaje?
Ccm itaendelea kutawala hii nchi hata miaka 100 ijayo maana ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.