Cheo ni dhamana, tuwe na busara

Cheo ni dhamana, tuwe na busara

Hata aliyesema ataua upinzani kafa yeye sabaya yupo jela wengine wanachezea utumbuzi.Wamekufa kisiasa na kimwili na wameuacha upinzani imara.
Upinzani gani imara Tanzania?

Kama ni kufa kila mtu atakufa. Ni mtu mwenye akili ndogo tu anaweza kuona kifo cha mtu mwingine as an achievement kwa sababu kila mtu atakufa kwa wakati wake.
 
Upinzani gani imara Tanzania?

Kama ni kufa kila mtu atakufa. Ni mtu mwenye akili ndogo tu anaweza kuona kifo cha mtu mwingine as an achievement kwa sababu kila mtu atakufa kwa wakati wake.
Kama mnajua kifo kipo kwann mnapoteza mda kuuwa watu maana mtu mwenye akili timamu hawezi ua mtu
 
Ingeundwa team
1. Makonda
2. Mambosasa
3. Muroto...
Kwa kweli Tanzania tumeponea chupu chupu na bado...hebu yatambueni hayo majina!

CCM first eleven1.png
Hii ni kwa kumbukumbu tu kama kawaida ya JF!​
 
Duniani tunatakiwa tutimize wajibu wetu na kusonga mbele. We dont own anything. Na ajidhaniaye amesimama, aangalie asianguke...
Kuna hili la majambazi kuteka mabasi na kuwapora abiria lilisha sahaulika kabisa lakini ghafla bin vuu twaliona tena
 
Back
Top Bottom