Cheni ya kunogesha Penzi

kuna kila aina ya cheni za hilo suala sijui unataka ya wamasai,ya wahindi,ya kuchonga kwa masonara au ...lakini ushauri wangu zile za kimasai ndio zenyewe haswaa ukijua kupangilia rangi zake ...

Ya kuchonga kwa sonara dadiito
 
Jamani natafuta hii cheni,

Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.

Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!

mbona hiyo sijawahi kukutana nayo katika maisha yangu, siipendi kweli.
 
Utaseke sana ...... utashelemwa nywa kawari. Linu wikiendi yaansa umemanya?

ini se ngitekwe? Lasma nginenywa fi reds halya Double view. Fiina tiki vingfure
 
mbona hiyo sijawahi kukutana nayo katika maisha yangu, siipendi kweli.

Ha ha ha haaa!! sasa hupendi kitu hujawahi kukutana nacho? mimi naipenda sna mwaya. Jaribu kuvaa siku moja
 
ini se ngitekwe? Lasma nginenywa fi reds halya Double view. Fiina tiki vingfure
O nkiki undenwa umonyi, msasha afo ngikte notcha na besa imeteka....Double View n'ku ilii?
 
Kweli hii ni "long weekend"!

Wasiwasi wangu ni "mgao wa giza" na "unogeshaji wa penzi" - hivi viwili haviendani bila shaka - hata uwe na cheni ya chain!
 
Kweli hii ni "long weekend"!

Wasiwasi wangu ni "mgao wa giza" na "unogeshaji wa penzi" - hivi viwili haviendani bila shaka - hata uwe na cheni ya chain!
Umesahau King Star pana Jenereta? Skul meti siku hizi umekuwa mwana mpotevu. Hawa kina Eva unaniachia peke yangu?
 
Umesahau King Star pana Jenereta? Skul meti siku hizi umekuwa mwana mpotevu. Hawa kina Eva unaniachia peke yangu?

Shhhiiiiiiiiii - Polepole vivian asije kusikia! Akina Eva hawana cheni ya kunogesha penzi
 
Ha ha ha haaa!! sasa hupendi kitu hujawahi kukutana nacho? mimi naipenda sna mwaya. Jaribu kuvaa siku moja

siwezi kumwambia mpenzi wangu avae hii kitu nitaikata hakianani vile weeehhh........
 
Kweli hii ni "long weekend"!

Wasiwasi wangu ni "mgao wa giza" na "unogeshaji wa penzi" - hivi viwili haviendani bila shaka - hata uwe na cheni ya chain!

I Really wish Idd was on monday.
 
Angalizo,muwe wasafi kwenye viwanja vyenu kama hujawahi kujaribu ikigusa hizo nyasi raha ina kuwa karaha.
 
vivian - inaelekea wewe ni M-Sinza wa ukweli!!!

hebu nimpigie simu "mtizama mwezi" kutoka Zanzibar afanya mambo!!!

Baba Enock, we have two types of Muslims

1. Scientific Muslims- After 30 days of Fasting they celebrate the Idd whether the moon is there or not (answar sunar)
2. Traditional muslims- They have to wait for the Moon.
 
baba enock, we have two types of muslims

1. Scientific muslims- after 30 days of fasting they celebrate the idd whether the moon is there or not (answar sunar)
2. Traditional muslims- they have to wait for the moon.

t a k b i r!
 
daa vivian umenisisimua sana nipe nafasi, mimi hata kama hautavaa chen plz its serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…