Cheni ya kunogesha Penzi

Cheniiii? Manguvu ya giza mwisho wa siku itakula kwako.... shetani hana zawadi ya buree... you must pay for it!!
 
Mhh!!!!!
 
Cheniiii? Manguvu ya giza mwisho wa siku itakula kwako.... shetani hana zawadi ya buree... you must pay for it!!

Acha uongo Karikenye. Shetani hatengenezi cheni.
 
Jamani natafuta hii cheni,

Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.

Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!

Mdogo wangu, achana na mambo ya Sinza; njoo huku kwetu mjini Namanyere kuna sonara mzuri tu ana anakuchongea mkufu, anauzindika na dawa ya hapa mjini, mtu hawezi kuuiba, zindiko linaufanya unakuwa mzito tani moja, hawezi kuuchukua. Wasemaje???
 
mama mdogo umenichekesha sana.

The smaller the chain, the more the enjoyment
 
haya vivian, hilo nalo ni neno, jamaa asipate sababu kwa nini asinaniiii vinane kwa usiku mmoja.
 
mama mdogo umenichekesha sana.

The smaller the chain, the more the enjoyment

Usikonde, mikufu midogo ipo tele hapa namanyere (Rukwa); na zindiko la chain isiibiwe, ni option tu, usikwazike na utamaduni wa huku!!!
 
kuna kila aina ya cheni za hilo suala sijui unataka ya wamasai,ya wahindi,ya kuchonga kwa masonara au ...lakini ushauri wangu zile za kimasai ndio zenyewe haswaa ukijua kupangilia rangi zake ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…