Chenge si jasiri wala smart, anadekezwa na kutengenezewa upenyo

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Namjua Andrew John Chenge vya kutosha. Ingawa sikumkuta pale UDSM, nilimkuta chamani CCM tangu katikati ya 1980's nilipojiunga na CCM na kuendelea kuwa naye hadi leo. Kaka yangu Chenge nimewahi kufa nya naye kazi mbalimbali za kisheria wakati huo nikiwa Serikalini, yeye akiwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Hata kazi za kichama, tuliwahi mara kadhaa kufanya kazi pamoja ili kufanikisha hili au lile. Kwa nimjuavyo, Chenge ni mtu wa kawaida. Ni muoga kama wengi wetu. Hachelewi kujaa mashaka juu ya hatua za kisheria na kinidhamu juu yake na kadhalika. Chenge hana ushupavu, uhodari, usmart wala uthubutu anaopewa kwenye media.

Kwa Serikali, Chenge ni mdogo kama chembe ya haradari. Chenge, kama alivyo Lowassa na Rostam ni wazito midomoni lakini wepesi kisiasa, kisheria na kimaisha. Chenge anadekezwa na kupewa upenyo tu. Nitawapa mfano mdogo. Katika mambo anayohusishwa nayo ya makinikia, Chenge anayatoka kirahisi kwakuwa kuna upenyo.

Mambo yanayomhusisha ni mambo yaliyotokana na Uanasheria wake Mkuu wa Serikali. Alikuwa Mshauri. Alikuwa akitoa ushauri juu ya mambo hayo ya madini. Hivi, ushauri ni jambo la lazima kukubaliwa? Hivi, aliyeshauriwa hakuwa katika nafasi ya kukataa? Huu ndiyo upenyo ninaousema. Kwanini yasingetafutwa mambo direct yaliyomhusu na kumhusisha nayo?

Amini nawaambia, Chenge ni mwepesi kama unyoya. Mbele ya Serikali, na vyombo vyake, hakuna mbishi,jasiri wala smart. Lakini, Chenge anadekezwa, anabebwa na anatengenezewa upenyo kila mara anapotajwa kwenye kashfa za kifisadi. Hana upekee wowote wala si nyoka kama anavyotamba kila mara.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Kobra mwenye macho kona aka makengeza anaangalia kushoto anangata kulia
 
Kweli, hana ujanja ni kiki tu
 
Sasa mbona leo unasema kwa kufumba fumba? Sema wazi kuwa upenyo anaotengenezewa ni wa kutowasumbua wakubwa wetu wastaafu kwani ndio aliokuwa akiwashauri na walikuwa na haki ya kuukubali au kuukataa ushauri wake.
 
Joka msaka pesa
f0cad97b669dfc55ea8d1793f64939b6.jpg
 
Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovu.
 
Namjua Andrew John Chenge vya kutosha. Ingawa sikumkuta pale UDSM, nilimkuta chamani CCM tangu katikati ya 1980's nilipojiunga na CCM na kuendelea kuwa naye hadi leo. Kaka yangu Chenge nimewahi kufa nya naye kazi mbalimbali za kisheria wakati huo nikiwa Serikalini, yeye akiwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Hata kazi za kichama, tuliwahi mara kadhaa kufanya kazi pamoja ili kufanikisha hili au lile. Kwa nimjuavyo, Chenge ni mtu wa kawaida. Ni muoga kama wengi wetu. Hachelewi kujaa mashaka juu ya hatua za kisheria na kinidhamu juu yake na kadhalika. Chenge hana ushupavu, uhodari, usmart wala uthubutu anaopewa kwenye media.

Kwa Serikali, Chenge ni mdogo kama chembe ya haradari. Chenge, kama alivyo Lowassa na Rostam ni wazito midomoni lakini wepesi kisiasa, kisheria na kimaisha. Chenge anadekezwa na kupewa upenyo tu. Nitawapa mfano mdogo. Katika mambo anayohusishwa nayo ya makinikia, Chenge anayatoka kirahisi kwakuwa kuna upenyo.

Mambo yanayomhusisha ni mambo yaliyotokana na Uanasheria wake Mkuu wa Serikali. Alikuwa Mshauri. Alikuwa akitoa ushauri juu ya mambo hayo ya madini. Hivi, ushauri ni jambo la lazima kukubaliwa? Hivi, aliyeshauriwa hakuwa katika nafasi ya kukataa? Huu ndiyo upenyo ninaousema. Kwanini yasingetafutwa mambo direct yaliyomhusu na kumhusisha nayo?

Amini nawaambia, Chenge ni mwepesi kama unyoya. Mbele ya Serikali, na vyombo vyake, hakuna mbishi,jasiri wala smart. Lakini, Chenge anadekezwa, anabebwa na anatengenezewa upenyo kila mara anapotajwa kwenye kashfa za kifisadi. Hana upekee wowote wala si nyoka kama anavyotamba kila mara.

Bastola ya nini tena jamani!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Mzee wa Lumumba huyo MTEMI hamumuwezi huyo kabisa..
 
Kikwetu, chenge ni Cheche za moto. Mwenye ujasiri wa kuzikaribia atamkamata tu.

Ila me ninavyojua jua mbele ya cheche huwez fungua macho lasivyo utapofuka tu.
 
Back
Top Bottom