MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,119
Aiseee sikujua kumbe huna adabuHuo ni mfano mfu
Aiseee sikujua kumbe huna adabuHuo ni mfano mfu
Mkuu umenikumbusha neno,CCM PUMZI ZIMESHAKATIKA kutoka kwa kada maarufu wa ccm mzee kingungeKwa USUKULE Wenu, Hata Swali La Mtego MNASHINDWA Kulitambua!! Mleta UZI Nakupa Kongole Mno, Kwa Swali Mujarabu!! Kama Hao Wote Ni Timu Ya LOWASSA, Na Lowassa Ametoka Ndani Ya CCM, Na Mara Kadhaa Tumewasikia Kuwa Wale Woote Walikuwa Wakikihujumu Chama Hicho, Watashughulikiwa Ipasavyo Na MAGUFULI Alisema WANAFIKI Woote Waliokuwa Mchana Wanakuwa CCM Na Usiku Wanatumikia UPINZANI, Hivyo Woote Watatimuliwa Ndani Ya CCM!! SASA Leo Hii CCM Ndio Iliwapatia Ridhaa Ya Kugombea Ubunge Wao Bariadi Na Ilala, Na Kashfa Zao Ziko DHAIRI, Hasa Kwa Huyo Andrew Chenge, Kila MTANZANIA Analitambua Hilo!!! Sasa Kama Wao Ni Miongoni Mwa Waliokisaliti Chama Chenu, Why ANDREW CHENGE, Alipendekezwa Na CCM Hiyo Hiyo Chini Ya Kikwete Yule Yule Na Magufuli Huyo Huyo, Kuwa MGOMBEA Wa Nafasi Ya Katibu Wa BUNGE, JE Kwa Maelezo Yenu, Kuwa Hao Ni Wafuasi Wa Lowassa, Basi CCM Haina VIONGOZI Makini Ktk Hatua Kwa WATU Wanaotuhumiwa Kukihujumu!!! Na Juzi Kikwete Amerudia Kauli Yake Kuwa MAJINA Ya Waliokisaliti Chama, Tayari Wanayo Na Kazi Ya Kuwatumbua Inakuja!! Sasa Ili Kauli Zenu Zipate Mashiko, Hao Akina Zungu Na Chenge Wawe Wa Kwanza Kunyang'anywa KADI Za UANACHAMA!! Lkn Wakiendelea Kuwa Ndani Ya CCM, Na Huku Chenge Huyo Huyo Akiwa Katibu Wa BUNGE, Basi Kauli Na Maneno Yenu Yatakuwa Za KINAFIKI Tu!! Au CCM Itakuwa Imekosa Kiranja Mkuu Wa Kuwaongoza Ama Pumzi Imekata!!
Sio Kama Ni MSAFI, Bali Andrew Chenge, Anawajua Viongozi Woote Mafisadi Walioko Ndani Ya CCM Na SERIKALI Yao!! Hivyo Yeye Anajivunia Kuwajua Zaidi Hao Viongozi Wapigaji!! NDIO Maana Juzi Amesema Yeye Ndiye Bingwa Wa Fitina, Hivyo Wajipange Vizuri!! KWA KUMUOGOPA Kumchukulia Hatua Kali Za Kisheria Na Kinidhamu, Wamempa UKATIBU Wa BUNGE, Badala Ya KUMVUA Uanachama Na Kumburuza Mahakamani!! Yaani Mkuu Hakuna Kiongozi Yeyote Ndani Ya CCM Au SERIKALI Yake, Ambaye Atakayejaribu Kumnyoshea Kidole Andrew Chenge, Kwani Akijaribu Kufanya Hivyo Tu, Yeye Naye Ataanika Ufisadi Wake Hadharani, Coz Alishakuwa AG Wa Tanzania, Hivyo Uozo Na "Mimavi "Ya Kila Kiongozi Anaujua, Ndio Maana Anapiga Dili, Alafu Anajisifu Hadharani!! Kipindi Cha Rada Alisema Ni Vijisenti Tu Hivyo, Ina Maana Kuwa, Kuna VIONGOZI Wengine Waliopata MGAO Mkubwa Zaidi Yake!! HEBU Fikiria Kidogo Hapo, Walimfanya Nini!!!!? Kwenye Dili La Ndege Ya Rais Akaingia, Escrow Ameingia Tena, Akiwa Mwenye Kujiamini Na Kujigamba, Coz Anawajua VIONGOZI Woote Wa Juu Waliopata MGAO Wa Dili Hizo!! Kama Wanabisha Wajaribu Sasa Kumgusa, Wauone Moto Wake, Woote Watawekwa Hadharani!! NDIO Maana Juzi Amewaambia Yeye Ndiye Bingwa Wa FITINA!! Matokeo Yake Wamempa Mwenyekiti Wa BUNGE, Ili Watulize!! Sasa Kama Kweli MAGUFULI Anataka Kupambana Na Ufisadi, Ajaribu Kuanza Na Andrew Chenge, Otherwise Ni Usanii Mtupu, Coz Kikao Kilichompitisha Andrew Chenge Kugombea Uenyekiti Wa Bunge, Woote Walikuwepo, PHILIP MANGULA, KINANA, KIKWETE, MAGUFULI, SHEIN, NAPE, BULEMBO, MWINYI, SAMMIA, MKAPA N.K!! So Tuseme Nini Kwa Hali Hiyo!!!??Mh Chenge ni msafi Na tayari kishawapa onyo mafisadi kule kwake kwamba atawatumbua hadi nyongo,
Lowaxa ndo nani? Uvccm mnashida sanani mpumbavu na lofa ndiye anayeweza kuwatofautsha CHENGE na LOWAXA
Aiseee! mkuu kwa maelezo yako Maguguli nae ni fisadi, anachokifanya ni kuhadaa wananchi tu lkn ni mnafiki wa kiwango cha lami, anajifanya mzalendo Na mwenye uchungu Na Tanzania ndani yake amejaA unafikiSio Kama Ni MSAFI, Bali Andrew Chenge, Anawajua Viongozi Woote Mafisadi Walioko Ndani Ya CCM Na SERIKALI Yao!! Hivyo Yeye Anajivunia Kuwajua Zaidi Hao Viongozi Wapigaji!! NDIO Maana Juzi Amesema Yeye Ndiye Bingwa Wa Fitina, Hivyo Wajipange Vizuri!! KWA KUMUOGOPA Kumchukulia Hatua Kali Za Kisheria Na Kinidhamu, Wamempa UKATIBU Wa BUNGE, Badala Ya KUMVUA Uanachama Na Kumburuza Mahakamani!! Yaani Mkuu Hakuna Kiongozi Yeyote Ndani Ya CCM Au SERIKALI Yake, Ambaye Atakayejaribu Kumnyoshea Kidole Andrew Chenge, Kwani Akijaribu Kufanya Hivyo Tu, Yeye Naye Ataanika Ufisadi Wake Hadharani, Coz Alishakuwa AG Wa Tanzania, Hivyo Uozo Na "Mimavi "Ya Kila Kiongozi Anaujua, Ndio Maana Anapiga Dili, Alafu Anajisifu Hadharani!! Kipindi Cha Rada Alisema Ni Vijisenti Tu Hivyo, Ina Maana Kuwa, Kuna VIONGOZI Wengine Waliopata MGAO Mkubwa Zaidi Yake!! HEBU Fikiria Kidogo Hapo, Walimfanya Nini!!!!? Kwenye Dili La Ndege Ya Rais Akaingia, Escrow Ameingia Tena, Akiwa Mwenye Kujiamini Na Kujigamba, Coz Anawajua VIONGOZI Woote Wa Juu Waliopata MGAO Wa Dili Hizo!! Kama Wanabisha Wajaribu Sasa Kumgusa, Wauone Moto Wake, Woote Watawekwa Hadharani!! NDIO Maana Juzi Amewaambia Yeye Ndiye Bingwa Wa FITINA!! Matokeo Yake Wamempa Mwenyekiti Wa BUNGE, Ili Watulize!! Sasa Kama Kweli MAGUFULI Anataka Kupambana Na Ufisadi, Ajaribu Kuanza Na Andrew Chenge, Otherwise Ni Usanii Mtupu, Coz Kikao Kilichompitisha Andrew Chenge Kugombea Uenyekiti Wa Bunge, Woote Walikuwepo, PHILIP MANGULA, KINANA, KIKWETE, MAGUFULI, SHEIN, NAPE, BULEMBO, MWINYI, SAMMIA, MKAPA N.K!! So Tuseme Nini Kwa Hali Hiyo!!!??
Mkuu Umenena Vyema!!Ccm ni ile Ile lakini kwa manufaa ya bunge zungu ndio mwadilifu kashfa zake sio nzito maana ccm akuna asiye Na kashfa ila siunajua ccm mtetezi Wa chama ndio msafi na hapa ndio maana kuletewa mabadiliko Na ccm ni ndoto
Kama mnawajua kuwa ni team kiboko yenu inakuwaje mnakubali vipi kuongozwa na adui yenu namba moja?
Wanatumbua Majipu ya wenzake ya kwake.kimya.wewe ndio unamuona chenge fisadi lakin ndani ya ccm ni msafi kama almas na hata yule wa kivuko kibovu sasa hivi anaonekana malaika pamoja na uuzaji wa nyumba za serikali kwa bei ya kutupa
Aah nasikia ufipa pamekua gofu nanilii .......kaamishia ofisi mikocheni ama kwel mmeshikwa pabayaUnajionyesha kuwa wewe ni mla viwavi aliye bobea