Chenge na Musa Zungu nani muadilifu?

Chenge na Musa Zungu nani muadilifu?

Yaani mnavotafuta ubaya wa Dr. Magufuli na basi haupo mmbebaki na hilo hilo moja la uuzwaji nyumba za serikali basi! Yaani halipandi kabisaaa, nobody buys it!
Siyo kuuza nyumba za serikali kwa bei za kupeana tu bali na kutumia 8 bilioni kunulia mv dsm yenye umri zaidi ya uhuru wa Tanganyika
 
Siyo kuuza nyumba za serikali kwa bei za kupeana tu bali na kutumia 8 bilioni kunulia mv dsm yenye umri zaidi ya uhuru wa Tanganyika
Hayo mawili tu? Ama kweli! Bahati mbaya hakuna namna, ndio rais sasa
 
Hayo mawili tu? Ama kweli! Bahati mbaya hakuna namna, ndio rais sasa
1456545643850.jpg
 
Ccm ni ile Ile lakini kwa manufaa ya bunge zungu ndio mwadilifu kashfa zake sio nzito maana ccm akuna asiye Na kashfa ila siunajua ccm mtetezi Wa chama ndio msafi na hapa ndio maana kuletewa mabadiliko Na ccm ni ndoto
 
Ccm ni ile Ile lakini kwa manufaa ya bunge zungu ndio mwadilifu kashfa zake sio nzito maana ccm akuna asiye Na kashfa ila siunajua ccm mtetezi Wa chama ndio msafi na hapa ndio maana kuletewa mabadiliko Na ccm ni ndoto
Aaaaa ccm ni ileile tu
 
Kwa mawazir hawa kujaza form za maadili mpaka rais awatishe tena na kuwapa deadline ya muda utegemee mabadilko hii ni ndoto ccm ni Ile Ile
Mkuu siy siri mimi nikisikia habari za hawa viongozi wa ccm natamani dunia ipasuke wazikwe tu ili tuishi kwa amani
 
TE="Mmawia, post: 15424417, member: 165175"]Mkuu siy siri mimi nikisikia habari za hawa viongozi wa ccm natamani dunia ipasuke wazikwe tu ili tuishi kwa amani
Mimi nikikuta kijana anashabikia ccm ndio naumia kabisa Na muomba Mungu ambadilishe maana hajui alitendalo kama lema alivyosema kama Mungu angeongeza amri kumi ni ingekuwa usiwe ccm
 
Mkuu hebu uliza taratibu, unasema chenge na zungu nani muadilifu?
 
Kwa maana nyingine ni kuwa ccm mmekbali au mmeishiwa na viongozi watakatifu hadi muongozwe na mpiga dili tena kwenye chombo cha kutungw sheria?
ccm wamewadharau sana wapnzani ndo maana wameamua kumweka mtu mwenye kashfa lukuki kuwa mwenyekiti wa bunge, bunge lililopta upnzani ulikua imara ndio maana mwenyekiti wa bunge akawa huyo zungu unayemwita 'anaafadhari', lkn upnzani wa sasa baada ya kumpokea fisadi lowasa mmeishiwa nguvu ya kuwatuhumu na kukemea ufisadi, ndio maana ccm wanafanya kile wanajisikia.
 
Ebu pitia tena hapo juu uone uzi unasemaje mkuu
Yaani mkuu swali lako ni sawa na kuona fisi wawili wanakula mzoga halafu wewe unauliza kati ya wale fisi wawili yupi anakula majani
 
bavicha mtabaki kulalamika bure kuhusu teuzi za ccm, hamjui kuwa mbowe kumpokea fisadi lowasa na kumkabidhi ugombea wa urais ndo kumepelekea hayo yote?, by the way zungu na chenge wote ni team lowasa it means wote ni, WAPIGAJI, ukimwona zungu ni sawasawa na kumwona chenge pia ni sawasawa umemwona lowasa sababu wote ni mafisadi
Kwa USUKULE Wenu, Hata Swali La Mtego MNASHINDWA Kulitambua!! Mleta UZI Nakupa Kongole Mno, Kwa Swali Mujarabu!! Kama Hao Wote Ni Timu Ya LOWASSA, Na Lowassa Ametoka Ndani Ya CCM, Na Mara Kadhaa Tumewasikia Kuwa Wale Woote Walikuwa Wakikihujumu Chama Hicho, Watashughulikiwa Ipasavyo Na MAGUFULI Alisema WANAFIKI Woote Waliokuwa Mchana Wanakuwa CCM Na Usiku Wanatumikia UPINZANI, Hivyo Woote Watatimuliwa Ndani Ya CCM!! SASA Leo Hii CCM Ndio Iliwapatia Ridhaa Ya Kugombea Ubunge Wao Bariadi Na Ilala, Na Kashfa Zao Ziko DHAIRI, Hasa Kwa Huyo Andrew Chenge, Kila MTANZANIA Analitambua Hilo!!! Sasa Kama Wao Ni Miongoni Mwa Waliokisaliti Chama Chenu, Why ANDREW CHENGE, Alipendekezwa Na CCM Hiyo Hiyo Chini Ya Kikwete Yule Yule Na Magufuli Huyo Huyo, Kuwa MGOMBEA Wa Nafasi Ya Katibu Wa BUNGE, JE Kwa Maelezo Yenu, Kuwa Hao Ni Wafuasi Wa Lowassa, Basi CCM Haina VIONGOZI Makini Ktk Hatua Kwa WATU Wanaotuhumiwa Kukihujumu!!! Na Juzi Kikwete Amerudia Kauli Yake Kuwa MAJINA Ya Waliokisaliti Chama, Tayari Wanayo Na Kazi Ya Kuwatumbua Inakuja!! Sasa Ili Kauli Zenu Zipate Mashiko, Hao Akina Zungu Na Chenge Wawe Wa Kwanza Kunyang'anywa KADI Za UANACHAMA!! Lkn Wakiendelea Kuwa Ndani Ya CCM, Na Huku Chenge Huyo Huyo Akiwa Katibu Wa BUNGE, Basi Kauli Na Maneno Yenu Yatakuwa Za KINAFIKI Tu!! Au CCM Itakuwa Imekosa Kiranja Mkuu Wa Kuwaongoza Ama Pumzi Imekata!!
 
ccm wamewadharau sana wapnzani ndo maana wameamua kumweka mtu mwenye kashfa lukuki kuwa mwenyekiti wa bunge, bunge lililopta upnzani ulikua imara ndio maana mwenyekiti wa bunge akawa huyo zungu unayemwita 'anaafadhari', lkn upnzani wa sasa baada ya kumpokea fisadi lowasa mmeishiwa nguvu ya kuwatuhumu na kukemea ufisadi, ndio maana ccm wanafanya kile wanajisikia.
NDIO Maana Mi Nasema Kuwa Kuna Watu Ni Machoko Humu, Kusema BUNGE La 10 Ndio Bora Kwa Vile Wapinzani Walikuwa Na Nguvu!! Ila Hili La 11 Halina Nguvu Hiyo!! HEBU Tuambie Kwa KIPIMO Kipi Ulichokitumia!!!?? Maana Bunge La 11 Ndio Juzi Tu, WALIKUTANA Kikao Chao Kwanza, Tena Kifupi Tu! JE Umeweza Kupima Vp Uwezo Wao Ndani Ya BUNGE Hilo!!!?? Suala La Andrew Chenge KUTEULIWA Na CCM Agombee Ukatibu Wa Bunge Na WABUNGE Wa CCM Ndio WALIOMPIGIA Kura!! Sasa Wapinzani Wanahusika Vp, Ktk KUCHAGULIWA Kwake!! Tulisema Na Tunasema CCM Haiwezi Kupambana Na Ufisadi, Coz Woote Ni Mafisadi Tu, Wanachotofautiana Ni Viwango Vya Huo Ufisadi Na Umiliki Wa MALI!!! NDIO Maana Wanaogopana Kuchukuliana Hatua Za Kuwajibishana, Coz Kuanzia Juu Kabisa Hadi M/ kiti Wa Mtaa, Kijiji Na Kitongoji Woote Ni "MANZAGANYA " HIVYO Kila Mmoja Anajua Ufisadi Wa MWENZAKE!! HIVYO Akimtaja Mwenzake Na Yeye Watasema Yake Pia!! NDIO Maana ANDREW CHENGE WANAMUOGOPA Mno Viongozi Wa CCM Na Serikari Yake!! COZ Chenge Anawajua Woote Ni Mafisadi Tu, Kwa Nyadhifa Alizowahi Kuzitumia, Ikiwa Pamoja Ile Ya AG!!! HIVYO Hukuna Wa Kumnyoshea Kidole!!! Na CCM Wamewadharau Wapinzani, Bali Watanzania MISUKULE Waliowapigia Kura!!! NDIO Maana Wanaendelea Kulindana Tu, Coz Wanajua Kuna MISUKULE Yao, Watawapigia Tu Kura!!!
 
Hao ndiyo wanawakilisha ile nembo ya Jembe na Nyundo kwenye bendera ya chama chetu.
 
Hayo mawili tu? Ama kweli! Bahati mbaya hakuna namna, ndio rais sasa
Maamuzi Yake Ya Kutafuta Sifa, Ameigharimu Serikali Kulipishwa Fidia, Meli, Samaki Na Gharama Za Kesi!! Kuna Zile Million 800 Walizolipwa Makandarasi Hewa Akiwa Waziri Wa Miundombinu!! Hilo Liko Ktk Ripoti Ya Mkaguzi Mkuu Wa Serikali Na Ilisomwa Bungeni!!! Hivyo Ndio Maana Tunasema Ndani Ya CCM Na SERIKALI Yao, Hakuna Hata Mmoja Aliyemsafi, Wanatofautiana Viwango Tu Vya Huo Ufisadi, Kwani Unadhani CCM Hawajui Kuwa Kama MAGUFULI Ana "MIMAMAVI" Yake Pia!!!?? Kama Aliohonga NYUMBA Ya Serikali Kwa Kimada Wake!!?? ILA Wameona MAGUFULI Ndiye Mwenye UNAFUU (USAFI) Kidogo, Wengine Walikuwa Hawezi Hata Kujaribu Kuomba Kura Kwa WATANZANIA!!!
 
Back
Top Bottom