Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Wana jamvi nimetafakari sana juu ya wabunge wa ccm kumkataa musa zungu kuwa mwenyekiti wa bunge na badala yake wakamkumbatia chenge ambaye anaandamwa na kashfa nyingi za ufisadi ikiwemo ile ya lada,epa,escrow na kutoa maneno mengi ya kashfa kwa watanzania,jee walikuwa na ajenda gani nyuma ya pazia kama siyo kuukumbatia huo ufisadi?walifanya hivyo kwa kuamini kuwa atawalinda mawaziri wezi kuwajibishwa,watanzania tustuke sasa