Elections 2010 Chenge hataki kusign matokeo

Status
Not open for further replies.

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
Je, ni kweli Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge? Ameshindwa na mgombea wa chama gani?
Wenye taarifa za uhakika p'se........!!!
 
Kama kuna mwenye taarifa aturushie jamani kuhusu tetesi hii ya Chenge!!
 
Haya wakuu, yeyote aliyeko Bariadi atujuze hapa!!

huyu mzee na yeye inabidi aachie tu...
 
Tafadhali wenye taarifa tujuzeni! bariadi kama wote watatuangusha basi wafe kivyao, na tusiwasikie wakilalamika maisha magumu
Nec watakuwa hawana roho wala huruma kumhifadhi hata Jambazi kama huyu
 
macho yetu yako hapo,taarifa zaidi
invisible jameni mboni htuhabarishi?
 
jamani tupatieni matokeo ya uhakika huku tupo maofisini tunajifanya busy kumbe tupo ndani ya jf
 
Huyu wa UDP ni nani jamani? Akomae mpaka yatangazwe, maana vijisenti hakawii kusema kijana chukua hizi ml100 jimbo niachie.
 
Breaking News: Chenge - PASS (CCM), Cheyo -PASS (UDP)
Habari za kuaminika kabisa.
 
Haya wakuu, yeyote aliyeko Bariadi atujuze hapa!!

huyu mzee na yeye inabidi aachie tu...

Vijisenti - PASS (CCM), Mapesa - PASS (UDP), Hizi ni habari za uhakika watu wanasheherekea sasa hivi, hasa UDP.
 
Hii thread yakuteremshia hadhi iondoe kwa sababu Chenge tayari amekwisha kutangazwa mshindi sasa wasomaji si wataanza kukudharau kuwa husemi ukweli?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom