Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

Mbunge wa jimbo la Bariadi mashariki mze wavijisenti. Amekubwa na aibu ya kuzomewa na wanakijiji wa kijiji cha Mwakibuga jimboni kwake.

Dhahama hii imemkuta mbunge huyu (aliyetumbua dili ya rada 2003), alikuwa akihutubia wananchi wa kijiji hicho. Sakata lilianza pale Chenge alipowaambia wananchi waacheakushiriki harakati za Chadema. Gafla watu wakaanza kugunaguna. Naye bila kujua akarudia maelekezo yake hayo. Ndipo kundi la wanachi wakamzomea kwa sauti kubwa.
Baada ya kuzomewa chenge akawaamuru police kuwakamata wazomeaji. Hapo ndipo khali ikawaka ghafla na lolote likichelea kutokea hadi mzee chenge alipotolewa chini ya escort ya FFU.

Kwa sasa Watu wa Bariadi wameapa kutodanganyika na liCCM tena.

mengine mezi tu
 
Mtu mzima bawacha mzima hata matumizi ya mabano hujui halafu unataka kutunga uongo wa kipuuzi kama huu nani atakuelewa.
 
Tulia dawa ikuingie vizuri. .magamba mkishikwa vibaya mnakimbilia neno uongo tulia gamba mkubwa wewe.
 
Mkuu Frank Kubwera Mungu akibariki sana.
Magamba yakisikia habari nzuri za ukombozi yana meguka vipande vipande
 
Heee...inamaana Chenge bado anautaka ubunge? Ntaambulia aibu kama hamwezi kusoma alama za nyakati. Wimbo wa sasa ni chadema mkobozi 2015! Jifunze kuzijua nyakati na heshima yenu itadumu.
 
wasukuma walishajitambua siku nyingi ndiyo maana wabunge wengi wa upinzani wanatoka huko, ndugu zangu hawa wamenyanyasika sana na mdudu ccm..huwa wanalazimishwa kulima pamba halafu serikali kwa kushirikiana na mafisadi ya ccm hupanga bei ya kununua...

Katika mikutano ya Maccm kuweka mhuri wa kuwatibitisha mafisadi wakati ule TRC inafanya kazi,kanda ya ziwa ilikuwa inaitwa treni la ushindi.muulizeni Mh.Shibuda alivyoshushwa ktk hilo ngongongo!
 
Lasttym chenge alifanyiwa kampeni zake na mke wake,yule mama anajua kugawa pesa bwana,pia mtu aliekuwa akichunuana nae hakuwa na nguvu sana ila trip hii kazi anayo kwani chadema ndani ya simiyu imesambaa kama kansa
 
Impact za M4C zimeanza kuzaa matunda.Uzuri walishaambiwa wajiandae kisaikolojia.
 
Simiyu yetu atakuja kudai hii habari si ya kweli na alikuwepo hapo!
 
Mbunge wa jimbo la Bariadi mashariki mze wavijisenti. Amekubwa na aibu ya kuzomewa na wanakijiji wa kijiji cha Mwakibuga jimboni kwake.

Dhahama hii imemkuta mbunge huyu (aliyetumbua dili ya rada 2003), alikuwa akihutubia wananchi wa kijiji hicho. Sakata lilianza pale Chenge alipowaambia wananchi waacheakushiriki harakati za Chadema. Gafla watu wakaanza kugunaguna. Naye bila kujua akarudia maelekezo yake hayo. Ndipo kundi la wanachi wakamzomea kwa sauti kubwa.
Baada ya kuzomewa chenge akawaamuru police kuwakamata wazomeaji. Hapo ndipo khali ikawaka ghafla na lolote likichelea kutokea hadi mzee chenge alipotolewa chini ya escort ya FFU.

Kwa sasa Watu wa Bariadi wameapa kutodanganyika na liCCM tena.

hongesa sana wanabariadi kwa kujitambta kwenu. saa ya ukombozi ni sasa. migamba itakula mawe safari kwani wananchi wameishajitambua kitambo sana.
 
Back
Top Bottom