Mbunge wa jimbo la Bariadi mashariki mze wavijisenti. Amekubwa na aibu ya kuzomewa na wanakijiji wa kijiji cha Mwakibuga jimboni kwake.
Dhahama hii imemkuta mbunge huyu (aliyetumbua dili ya rada 2003), alikuwa akihutubia wananchi wa kijiji hicho. Sakata lilianza pale Chenge alipowaambia wananchi waacheakushiriki harakati za Chadema. Gafla watu wakaanza kugunaguna. Naye bila kujua akarudia maelekezo yake hayo. Ndipo kundi la wanachi wakamzomea kwa sauti kubwa.
Baada ya kuzomewa chenge akawaamuru police kuwakamata wazomeaji. Hapo ndipo khali ikawaka ghafla na lolote likichelea kutokea hadi mzee chenge alipotolewa chini ya escort ya FFU.
Kwa sasa Watu wa Bariadi wameapa kutodanganyika na liCCM tena.
wasukuma walishajitambua siku nyingi ndiyo maana wabunge wengi wa upinzani wanatoka huko, ndugu zangu hawa wamenyanyasika sana na mdudu ccm..huwa wanalazimishwa kulima pamba halafu serikali kwa kushirikiana na mafisadi ya ccm hupanga bei ya kununua...
Chifu A, Chenge nakuombea kwa mungu akubariki endelea kuchapa kazi Bariadi inahitaji maendeleo na siyo majungu! wewe ni mbunge wa vitendo na maendeleo umefanya mengi jimboni kwako ambayo hayakuwepo kipindi cha nyuma usikatishwe tamaa na watumwa wa mawazo ya wachaga, Bariadi inakuhitaji kuliko kitu chochote maana wewe ni maneno kidogo lakini vitendo vingi tunakupenda, tunakuhitaji na tutakupigania hadi tone letu la mwisho la damu yetu, Bariadi ni yako ondoa hofu wewe chapakazi Chifu!

Uongo, uongo, muogepeni mungu acheni kuwafanya watanzania ni wajinga kama ninyi mlivyo waongo mbona mmezoea uongo hivyo? Kweli Frenk unawezaje kuandika kitu ambacho huna uhakika nacho? Ukizoea uongo utaishi kwa uongo!

Nahisi huyu #Kichuli atakuwa mchepuko wa Chenge. Umesahau wale waliopitiwa na kibajaji chao wakafa ooohh.
Mnataka muanze kumvizia ama,!Mkuu hebu ni pm huyo jamaa wa dutwa. Nimefanya kazi dutwa kipindi kirefu mkuu....
Ni lini Wewe Mzee Chenge ulisema ukweli?