Kweli Mkuu.. Magufuli Hana kesi yeyote hapa chini ya jua, anaukemea Ufisadi hasa wa nyumba za serikali kwa Nguvu zote.Ufisadi ulishapoteza maana yake toka wale vinara wa kuusema walipogeuka watetezi wa mafisadi. Watu pekee ninaoamini kwamba wanachukia ufisadi kutoka moyoni ni Dr. Sla na Magufuli tu. Wengine ni maigizo tu.
Pia shetani ukimaliza uongo wote husema ukweliMhhh!! Hata shetani akizeeka anakuwa malaika.!
Bado nashangaa, nani eti chenge?Hebu rudia vizuri, unasema chenge amekemea ufisadi?
Well he has experience na anajua mingo zote so its easyNi mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania
nimemsikia akijisifu yeye ni bingwa wa fitna ilibidi nichekeCHENGE kauzu kweli kweli!
[emoji3]Mhhh!! Hata shetani akizeeka anakuwa malaika.!
Mwl. Nyerere akiwahutubia watawa wa Maryknoll huko Marekani wa kati wa utawala John Kennedy aliwaambia "Hata shetani anaweza kunukuu biblia kama itakidhi hoja yake" Chenge naye amefanya hivyo ili aonekane anaunga mkono upasuaji majipu ya ufusadi na uhujumu uchumi.Mhhh!! Hata shetani akizeeka anakuwa malaika.!
Pola nyaga tobhonele ngoko!Ni mbunge wa Bariadi Mashariki, Mhe Andrew Chenge ameapa kuwashughulikia mafisadi wanaoshindwa kufuata taratibu katika kutekeleza majukumu yao wilayani humo atawashughulikia kwani yeye ni ndie kiboko ya wabadhirifu wa mali za umma na wazembe.
Chanzo: Raia Tanzania