Chenge Afunika Rasimu ya katiba pendekezwa

kingukitano

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,971
Reaction score
497
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba
 
Tanzania imegubikwa na wananchi wengi wenye fikra fupi fupi kama wewe...

USISIFIE KABLA YA KUISOMA RASIMU USIWE MLEVI WA MANENO TU,LOBENGULA ALIDANGANYWA KWA MANENO MAANDISHI YAKAWA TOFAUTI AKAIKABIDHI ZIMBAWE KWA WAKOLON.NAKUSHAUR WASIKILIZE WATAALAM WASIO WANASIASA,maana hawana ushabiki
 
Kwani nisome nini we binti huoni change anachokisoma nakukisikia?
 
nchi hii haiendelei kwasababu ya wapu...uz kama mtoa mada
 
hakika mkuu,mijitu mingine ni mbulula sana,ndio maana safari ya Tanzania tuipendayo ni ndefu bado.

We binti safari ya Tanzania tuipendayo haitaletwa na wanasiasa kama unavyodhani Bali no kwa kufanya kazi kwa juhudi na Maarifa
 
nchi hii haiendelei kwasababu ya wapu...uz kama mtoa mada

Nyie mmelewa uvivu was wanasiasa was Tanzania waupinzani mmefikia kuamini kuwa TanAnia itapaa kiuchumi kwa nguvu ya upuuzI was siasa A kishenzi.
 
Ndugu zangu ukweli tuuseme Change ametaja maeneo ambayo yamewagusa Watanzania hasa ushirika....Kilimo....Elimu.....na Malengo ya kitaifa ya kiuchumi.

Hakika kwa dhati ya moyo wangu kumbe binge hili lilikua serious.Hongera sana Change kwa umahiri.hongera wajumbe Hongera Sitta.

Natamani Rasimu hii iletwe tuipitishe kwa Kishindo

No Mimi mzalendo

Kingukitano

Tandaimba

asante kwa tarifa... wasubiri wateja wa Azam bread and mineral water waje wakutukaneee mpaka
 
Kingukitano umelogwa wewe unahitajika msaada wa haraka ili tuokoe akili zako....!!
 
NY3 sijalogwa hakika mwanzo sikujua kuwa Binge maalumu wamefanya kazi iliyotukuka
 
Back
Top Bottom