KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 May 19, 2014 #1 swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani
swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani
N NUHWAHI JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 309 Reaction score 493 May 19, 2014 #2 Baba yake
prospa JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 554 Reaction score 157 May 20, 2014 #3 shemeji yake
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 May 21, 2014 Thread starter #4 mmmmmhhhhhhhh... badibado ila mnaelekea kias fulan
tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 May 21, 2014 #5 tupe jibu mkuu
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,784 Reaction score 120,594 May 21, 2014 #6 Baba yake
RWEYONGEZA MUTTA Member Joined Oct 12, 2012 Posts 52 Reaction score 10 May 22, 2014 #7 Anamlilia mjomba wake
M mbesa1 Member Joined Apr 11, 2014 Posts 53 Reaction score 9 May 22, 2014 #8 KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... Tupe jibu
KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... Tupe jibu
M mbesa1 Member Joined Apr 11, 2014 Posts 53 Reaction score 9 May 22, 2014 #9 KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... Tupe majibu
KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... Tupe majibu
C carlosmusiba Member Joined Feb 16, 2013 Posts 9 Reaction score 1 May 23, 2014 #10 Maiti ni shangazi yake
K KATIBUA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 288 Reaction score 63 May 23, 2014 #11 Je, maiti ni nani? Maiti ni kiumbe kilichoondokewa na uhai/kufa.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,051 Reaction score 12,581 May 23, 2014 #12 Maiti ni marehemu. R.I.P Marehemu......🙁
Z ZeMarcopolo Platinum Member Joined May 11, 2008 Posts 14,279 Reaction score 7,684 May 30, 2014 #14 Baba, baba mdogo, baba mkubwa.
amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 918 May 30, 2014 #15 KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... Maiti alikuwa ni mama yake ndo maana kakaake anaitwa mjomba.
KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... Maiti alikuwa ni mama yake ndo maana kakaake anaitwa mjomba.
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,068 Reaction score 20,143 May 30, 2014 #16 Maiti ni marehemu.
ntita JF-Expert Member Joined Dec 31, 2013 Posts 513 Reaction score 285 Jun 1, 2014 #17 KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... ni mjomba wake.
KAJICHO KIVULI said: swaliiiiiiiii kuna mtoto alikuwa analia juu ya kaburi alipoulizwa unalilia nini akajibu kaka wa mke wa maiti ni mjomba wangu...... Je maiti ni nani Click to expand... ni mjomba wake.
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 546 Jun 8, 2014 Thread starter #18 :llama::llama: :A S 13: :A S 13: :A S 13:
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,013 Jun 8, 2014 #19 Shemeji ya maiti Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Nyunyu JF-Expert Member Joined Mar 9, 2009 Posts 4,354 Reaction score 1,013 Jun 8, 2014 #20 Ambaye pia ni baba ya mtoto anayelia. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums