Chemsha Ubongo wako

Chemsha Ubongo wako

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
8.jpg
 
Hahahahhhh. Noma. I got it right. Ninth row from bottom
 
Drop down through19th row as moving from left to right...
 
Ipo kwenye mstari wa tisa kutokea chini upande wa kutokea kushoto kwenda kulia kwenye mstari wa 19
 
Hahaha mi nimeona baada ya kusoma comments
 
ahsante hivi mmeona kweli au ndo bendera fata upepo

Kwa kukusaidia (ingawa nilitaka utoke jasho kuitafuta), hebu
angalia mstari wa 9 kutoka chini na 19 kutoka kushoto. Ukishindwa
hapo nakushauri uende kwa daktari wa macho, peengine utakuwa
na shida...
 
nimeona lakini sio kwa haraka nimechungulia majibu
 
Kwa kukusaidia (ingawa nilitaka utoke jasho kuitafuta), hebu
angalia mstari wa 9 kutoka chini na 19 kutoka kushoto. Ukishindwa
hapo nakushauri uende kwa daktari wa macho, peengine utakuwa
na shida...

hahahahhaa ngoja nijaribu tena ila maandishi ni madogo sana
 
Back
Top Bottom