bowlibo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 3,209
- 2,920
Nataka kuja kukopi kwako
Sio mtihani, ni chemsha bongo tu. Kila mtu anajaribu kivyake.
Nataka kuja kukopi kwako
Ya pesa niijua hata kabla sijajua kusoma
Let
x=sungura
y=paka
z=mbwa.
then the equations from above pictures are.
x+y=10....................(i)
x+z=20.....................(ii),
y+z=24.....................(iii),
then solve eqns (i), (ii) and (iii) simultaneously to get.
x=3, y=7 and z=17.
Then take
x+y+z=3+7+17=27
Sio mtihani, ni chemsha bongo tu. Kila mtu anajaribu kivyake.
Ok!! Nakuja tuongee.
umenichanganya
pole kabisa....unitafute....
Ha ha ha ha ha haaa, usivurugike asee.
MankaM na miss chagga hebu fuatilieni hii picha nadhani hamtavurugika tena kwa akili.
Nikikosa mnicheke nataka kukop
Asante kwa solution,
miss chagga bila shaka umeshacopy
Haujambo miss chagga?
sijambo shikamoo mama .. mimi sitaki lakini unajua
Unanianza mwenyewe si nimeishakukataza kuniita mama......:thumbdown:
nisamehe yaishe tu mimi leo sitaki uchokozi sitaki
Bora umeomba msamaha maana nilikuwa nataka nimpigie baba yako hapa nikushtakie😛
basi nisamehe mwenzio basi tu
Haya nimekusamehe ila msalimie baba yako
asante ... baba utafiti unasalimiwa huku kasema anapita atakuona kesho
Asante mwanangu miss chagga, umemsalimia lakini??