proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,609
- 11,839
Chumba chenye urefu wa sm10000 na upana wa sm4000 kitahitaji tiles(marimari) ngapi? iwapo tile moja ina umbo la mraba na upande mmoja una sm5?[emoji538] [emoji540]
Hizo ni sm mkuu na sio mitashem vipiiii muache mama aende mwenyewe
hicho chumba ni imaginary aiseee yaan kikubwa hatari sm 10,000
1600000wote hapo juu mmekosea. Jibu sahini ni tiles 160.
Kweli mkuuTiles 1600000
Jibu litapatikana pale ntakapochukua lcm ya 10000 na 4000 ntapata tiles ngap zinaitajika .apa cna pen ndo maanaChumba chenye urefu wa sm10000 na upana wa sm4000 kitahitaji tiles(marimari) ngapi? iwapo tile moja ina umbo la mraba na upande mmoja una sm5?[emoji538] [emoji540]
Ni hall mkuuHata kama ni mita bado ni chumba kikubwa sana, urefu mita 100 !!
10000×4000÷25=Jibu litapatikana pale ntakapochukua lcm ya 10000 na 4000 ntapata tiles ngap zinaitajika .apa cna pen ndo maana