ngoja wajeKwa wale wajuzi wenzangu wa Hesabati.
Viboksi vilivyopo juu jibu lake ni 3.5+4.5= 8Kwa wale wajuzi wenzangu wa Hesabati.
Nimekubali Mkuu.Viboksi vilivyopo juu jibu lake ni 3.5+4.5= 8
Viboksi vilivyopo upande wa kushoto jibu lake ni
3.5+9.5=13
Viboksi vilivyopo upande wa kulia jibu lake ni
4.5+3.5=8
Viboksi vilivyopo chini jibu lake ni
9.5-3.5=6
Mkuu hilo swali halina formula bali kuna njia. Sema uoneshwe njia jinsi majibu yanavyopatikana na sio formula.Kama wewe ulisoma Math,tupe formula siyo habari za kukrem sawa
Hapa kwenye manuktanukta ndio napozichukiaga hesabuViboksi vilivyopo juu jibu lake ni 3.5+4.5= 8
Viboksi vilivyopo upande wa kushoto jibu lake ni
3.5+9.5=13
Viboksi vilivyopo upande wa kulia jibu lake ni
4.5+3.5=8
Viboksi vilivyopo chini jibu lake ni
9.5-3.5=6
Kwakweli hiyo njia pita mwenyeweMkuu hilo swali halina formula bali kuna njia. Sema uoneshwe njia jinsi majibu yanavyopatikana na sio formula.
Tatizo letu wabongo tumekariri kuwa kila hesabu ina formula.Mkuu hilo swali halina formula bali kuna njia. Sema uoneshwe njia jinsi majibu yanavyopatikana na sio formula.
Hahaha pole sana mkuu kuna msemo unasema kwa vile simba ni mkali hata ukikaona Katoto cha simba utatoka nduki tu.Hapa kwenye manuktanukta ndio napozichukiaga hesabu
Mkuu umenichekesha ndo kauli inayosema hesabu ni mama mkwe inapotumika.Kwakweli hiyo njia pita mwenyewe
Hesabu mchezoJibu nalijua ila ngoja nione alie sahihi kama mm
Salute to you mkuu...!!!!x+ y=8
a - b=13
|| ||
13 8
Four equations
x+y=8....(i)
a-b=6....ii
x+a=13....iii
y+b=8.....iv
eq i and eqn iv have same right hand side,equate them
x+y=y+b therefore
x=b (v)
Eqn i,ii and iii become
x+y= 8.....vi
a-x=6.....vii
x+a=13...viii
By elimination method to solve for a,
add eq ii and iii
2a=19
a=9.5
Now take eqn viii to get value of x
X+9.5=13
x=3.5
remember that x=b
b=3.5
Take eqn i to get y
X+y=8
3.5+y=8
y=4.5
Therefore
x=3.5
a=9.5
b=3.5
y=4.5
3.5+4.5=8
9.5 -3.5=6
|| ||
13. 8
Pamoja mkuuSalute to you mkuu...!!!!