henry tweve
Member
- Sep 7, 2016
- 9
- 2
Tatu na nane
Mtafute daktari wa macho haraka sana
Kazana kula matunda yenye vitamini A kwa wingi, bila kusahau mboga za majani.
Duu!!Hapo ningechora picha ya Zombie tu...!
Hakuna namna
Wahi CCBRT kabla hujawa kipofu.Msidanganyane
No namba
Wewe ndio unahitaji msaada wa daktari wa macho kwa haraka sana.Msidanganyane
No namba
Pole sana. Kamuone daktari wa macho ili upate msaada.
Khaa!!mi naona duara jeupe tu