Chemsha bongo

Chemsha bongo

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,177
Reaction score
28,608
Poleni na kazi wakuu,

Hapa kuna chemsha bongo.

Nilipewa sumu nimwekee paka nikaifungua nikaishika kwa mikono kisha nikaweka kwenye sahani, nilipomaliza nikaifunga vizuri kwenda kuihifadhi, kisha nikaenda bombani nikafungua koki nikanawa mikono vizuri tena kwa sabuni kisha nikafunga koki nikaenda kula ugali, pale pale tumbo likaanza kuuma nimeenda kupima doctor kasema nimekula sumu.

Hapa swali ni je sumu ilitoka wapi?
 
Tumbo liliuma sababu ulikula ugali mkavu bila mboga, Daktari wako amekudanganya. Kama shida kweli ni sumu, basi ilipaswa kukuua na sio kukuumiza Tumbo... Unless sumu yenyewe ime-expire ndio maana haina nguvu, so huyo aliyekupa sumu amezingua.
Lakini, hii michezo ya sumu kwanini Lakini? Afu sumu zipo za panya tu, za paka hakuna.
Anyway, najaribu kuwaza kama wewe (at 9 years old),, nadhani nimepata!!
 
Itakua we ndo unapika mishikaki ya paka mkuu🙂🙂🙂
 
Poleni na kazi wakuu!!
Hapa kuna chemsha bongo
Nilipewa sumu nimwekee paka!!
Nikaifungua nikaishika kwa mikono kisha nikaweka kwenye sahani nilipomaliza nikaidunga vizuri kwenda kuihifadhi! Kisha nikaenda bombani nikafungua koki nikanawa mikono vizuri tena kwa sabuni kisha nikafunga koki nikaenda kula ugali!!pale pale tumbo likaanza kuuma nimeenda kupima doctory kasema nimekula sumu!!!
Hapa swali ni je!!! Sumu ilitoka wapi!!

Ulikula kabla ya kunawa. Usimlaumu daktari hakukulisha.
 
Mkuu pale nilipomaliza kuweka sumu nilienda bombani nikafungua koki nikanawa na sabuni nilipomaliza nikafunga koki nikaenda kula ugali nolipoumwa tumbo doctor kasema nimekula sumu!!!hapo je!!sumu ilitoka wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom