Chemsha BONGO

hiyo nayo ya 70s ?!!!
 
 
Hii kali hata google ku translate ni shidaaa.
 
"It should be work here!"

Or

" work and nothing else! "

Or

" here all we do is work, nothing else! "
 
Men at work, cose ni mtu mmoja tu anaesimamia hili neno
 
Wakuu, naona wengi mmekazania kutafsiri neno kwa neno kutoka kiswahili kwenda kiingereza. Hamtaweza. Ni vema mkatafsiri ujumbe / muhtadha halafu mkauweka katika msingi wa lugha husika na iwezekana kabisa kila mmoja akaunda sentensi tofauti na mwingine lakini zote zikawa sahihi na zenye maana moja. ukitafsiri neno kwa neno unaweza ukajikuta umeleta vitu vya ajabu. mimi kwa mfano ningesema "here we mean business" likawa na maana hiyo hiyo ya "Hapa kazi tu"
 
 
Boarding school kwenye room nikimkuta mshikaji amelala fofofo nikawa navuta mto wake wa kulalia akashtuka na nikuniambia Don't smoke my river
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…