Sijakosea mkuu, namba 15 ina rangi tofauti (zambarau) huo mraba watu wengi hawauoni unatengenezwa na njiti 3 kila upande, anzia chini kushoto, hesabu njiti tatu kwenda juu, tatu kwenda kulia utaona zinaungana na tatu kushuka chini zinazotengeneza mraba baada ya kukutana na zile njiti tatu za chini. (Huo ni mtazamo wangu lakini) nashukuru kwa mchango wako nadhani itabidi
watu8 anisaidie kutoa maelezo nadhani mimi sio mwalimu,mwelekezaji mzuri.la inabidi
MziziMkavu atupe majibu sio anatuacha tunaendelea ku rveal ignorance.....