Chemsha bongo yangu ya leo kuna viwanja vingapi katika huu mchoro?

Chemsha bongo yangu ya leo kuna viwanja vingapi katika huu mchoro?

Ili kupata Square inabidi kwanza hivyo vijiti viungane na kutengeneza 90 degree angle kama inavyoonekana hapo chini..

Capture.JPG
sasa vijiti vyako hakuna hata sehemu iliyoungana...Hivyo kwa sababu havijatengeneza 90 degree angle ukiniuliza kuna Square ngapi..in short nitakwambia hakuna hata square moja...yaaani Zero...
 
17 squares, fanya utoe jibu tujue km tumepatia au tumekosa.
 
Back
Top Bottom