Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Ha ha haaaaa hujambo fyatu?Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma
sijambo mwenzangu, mambo yanakuwaje?Ha ha haaaaa hujambo fyatu?
Sijambo rafiki, mambo si mambo bora unipitie twend zetu "senema" ya Bruce Lee!sijambo mwenzangu, mambo yanakuwaje?
Hiyo sinema inaitwa Enter the dragon ya mwaka 1973 nikiwa mkurugenzi wa shirika la uvuvi wa pweza Dodoma