Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Julius Husseni

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
1,435
Reaction score
1,195
Lengo langu nivuke mto ila katikati Kuna mlinzi na ua analala kwa dakika 5 nikitaka kuvuka anakua ashaamka. Swali nitafanyaje nipate kuvuka mto ?
 
Lengo langu nivuke mto ila katikati Kuna mlinzi na ua analala kwa dakika 5 nikitaka kuvuka anakua ashaamka. Swali nitafanyaje nipate kuvuka mto ?
nenda hadi katikati akikaribia kuamka geuka na anza kukimbia ukirudi ulipotoka jamaa atajua umeshavuka unakimbia hvyo atakudaka na kukupeleka upande uliokua unataka kwenda.....
 
Kwa nini uvuke kwa kujificha, una magendo?
Wewe unamuambia tu mlinzi unahitaji kuvuka, uende zako unakotaka!
 
Back
Top Bottom