Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Lengo langu nivuke mto ila katikati Kuna mlinzi na ua analala kwa dakika 5 nikitaka kuvuka anakua ashaamka. Swali nitafanyaje nipate kuvuka mto ?
unaenda mpaka alipo wkt huo amelala unamuuwa unapita tena kwa uhuru au unamfunga kamba kama anamtumbwi unachukua kasia ama boti chukua ufunguo
 
Majuto alishaijibu kwenye tangazo la pipi ivory
 
si ntamuomba tu mlinzi nivuke zangu mto kwa amani!! i hope hawezi kunikataza!!!

just kuvuka tu jamani!!?
 
Back
Top Bottom