Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Chemsha bongo ukipata nakutumia pesa ya bando

Huoni kua wengine watakua wametendewa isiyo ? Istoshe mitandao haifanani mwigne tgo mwingne eatel zantel halotel nk
ngoja nipandilie kwa juu!
mkuu hilo zawadi nipe mimi tu nashida nalo kinomaaaa.. we acha tu! kuwa na huruma😀
 
wa tz wababaishaji sana aisee...sasa ushaanza leta ujanja janja
Anauliza magongo ya nini... [emoji23] Wakati amesema kuna nyoka.. [emoji15]
WA Tz ni noma..... [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cha kufanya hapo, anza kwenda kinyume nyume ukielekea unakokwenda utakapokaribia atajua ataamka na kwa akili zake za usingizi atajua ushavuka tayar atakukamata na kukurudisha nyuma ambako ndo lengo lako kwenda
 
Lengo langu nivuke mto ila katikati Kuna mlinzi na ua analala kwa dakika 5 nikitaka kuvuka anakua ashaamka. Swali nitafanyaje nipate kuvuka mto ?
Swali la kwanza huo mto unavuka kwa mda gani?
 
atembee haraka hadi katikati ya mto (nadhani kuna daraja), halafu geuka uangalie ulipotokea, mlinzi akiamka atakuambia rudi ulipotoka basi hapo tayari utageuka na utakuwa umevuka mto. haya rusha hilo bando haraka sana. acha ahadi hewa
 
Mkuu hao waliopata watumie namba za Vocha ya mtandao uliokusudia huku ukiacha tarakimu moja waitabiri huko PM
 
Cha kufanya hapo, anza kwenda kinyume nyume ukielekea unakokwenda utakapokaribia atajua ataamka na kwa akili zake za usingizi atajua ushavuka tayar atakukamata na kukurudisha nyuma ambako ndo lengo lako kwenda
huyu jamaa ameshinda mpe voko yake
 
maji yanatembea au hayatembei?
kama yanatembea mwaga upupu kwenye maji atawashwa kisha unavuka kwa stareheee
 
Back
Top Bottom