umekosa
tuendelee na paper kwanza!!!! :smile-big:
Daraja hili linapatikana mkoa gani maarufu hapa nchini Tanzania?View attachment 226193Ruaha Mbuyuni Iringa ni lile la zamani upande wa kushoto ukitokea Dar kuelekea Iringa

hapa ni sawa kiongozi. Congrats!
Mie sijawahi hata kuliona
mnaosafiri kwa ndege mtaonea wapi madaraja kama haya...😉