kuna factor mbili muhimu,
1) Je, kitako chote cha sufuria kimefunikwa na moto.?
2)Mayai yote 15 katika sufuria ya pili yamegusa kitako cha sufuria.?
Kama majibu ni ndio, possibly yatatumia muda mmoja, kwasababu kwenye sufuria lenye yai moja joto jingi linakua linapotea bure. Na joto kidogo litafyonzwa na lile yai (sawasawa na yai jingine kati ya yale 15) huku joto lingine likipotea bure, wakati joto hilo linalopotea bure ndo linalochukuliwa na mayai mengine kwenye sufuria jingine.