Chemsha bongo la Papaa no. 1

Chemsha bongo la Papaa no. 1

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,161
Reaction score
2,668
Ni kitu gani ambacho siku zote lipo lakini halifuati barabara popote pale?
 
siasa za nchi hii....hakuna lililosemwa likatekelezwa....ni ujanja ujanja tu
 
Ni kitu gani ambacho siku zote lipo lakini halifuati barabara popote pale?

Uwiano wa kisarufi umebakwa, chemsha kwanza bongo yako kwenye lugha ndio nasi tuchemshe zetu.
 
Back
Top Bottom