Chemsha bongo: Hotel hii iko wapi hapa bongo?

Chemsha bongo: Hotel hii iko wapi hapa bongo?

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,568
Reaction score
1,350
Kuna kumbukumbu. Yaelekea Ulishakula/kufika kwenye hii hotel. Taja angalau iko mji gani maarufu sana hapa Tanzania

hotel nzuri.jpg
 
Sasa hotel huko huko kuna garage hii sio hotel lazima ni Mgahawa au Naongopa Mgosi.
 
Inaitwa Bugenvilia na ipo karatu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kuna kumbukumbu. Yaelekea Ulishakula/kufika kwenye hii hotel. Taja angalau iko mji gani maarufu sana hapa Tanzania

View attachment 226250

Hapo Siyo Hotelini Bali Ni Nyumbani Kwa Waziri Lazaro Nyalandu Oysterbay Na Hayo Ni Magari Yake Na Hivyo Vijumba Ni Vya Kulala Watoto Wake Waliozaliwa Na Faragha Naokota!!!!!
 
Back
Top Bottom