Chemsha bongo: Hotel hii iko wapi hapa bongo?

Chemsha bongo: Hotel hii iko wapi hapa bongo?

Nyumbani kwangu hapo uliipiga hii picha lini maanatangu nifanye marekebisho sijafanya sherehe yoyote au we ni yule fundi wa rangi mgosi nini??? Ntakosanana wewe kabisa..
 
Hapo Siyo Hotelini Bali Ni Nyumbani Kwa Waziri Lazaro Nyalandu Oysterbay Na Hayo Ni Magari Yake Na Hivyo Vijumba Ni Vya Kulala Watoto Wake Waliozaliwa Na Faragha Naokota!!!!!


Ni hotel kuna mmoja karibu apate. Lakini sio karatu wala k.koo. Ni mji maarufu sana
 
Back
Top Bottom