MAMMAMIA JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 3,811 Reaction score 1,607 Jun 19, 2011 #21 Geo Gambi said: Kuna kuku wa5 wanakula pumba,kisha ikapita ndege juu.je,macho mangapi ya kuku yataangalia juu? Click to expand... Hakuna kuku hata mmoja atayeangalia juu kwani kuku huangalia kushoto au kulia tu.
Geo Gambi said: Kuna kuku wa5 wanakula pumba,kisha ikapita ndege juu.je,macho mangapi ya kuku yataangalia juu? Click to expand... Hakuna kuku hata mmoja atayeangalia juu kwani kuku huangalia kushoto au kulia tu.
PingPong JF-Expert Member Joined Dec 21, 2008 Posts 926 Reaction score 160 Jun 19, 2011 #22 MASOKO said: jogoo alitoka tanzania kwenda kenya alipofika mpakani mwa tanzania na kenya akataga yai litakuwa la kenya au tanzania Click to expand... jogoo hatagi yai
MASOKO said: jogoo alitoka tanzania kwenda kenya alipofika mpakani mwa tanzania na kenya akataga yai litakuwa la kenya au tanzania Click to expand... jogoo hatagi yai
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Jun 20, 2011 #23 Jaguar said: Au hii,una machungwa matano kapuni.kuna watoto watano wamekuzunguka na inabidi kila mmoja apate chungwa moja.Utawezaje kuwapatia kila mmoja chungwa moja na chungwa moja libaki kapuni? Click to expand... Wape watoto wanne chungwa moja moja,na mtoto wa tano mpe chungwa la tano pamoja na kikapu bila kulitoa chungwa kutoka kapuni.
Jaguar said: Au hii,una machungwa matano kapuni.kuna watoto watano wamekuzunguka na inabidi kila mmoja apate chungwa moja.Utawezaje kuwapatia kila mmoja chungwa moja na chungwa moja libaki kapuni? Click to expand... Wape watoto wanne chungwa moja moja,na mtoto wa tano mpe chungwa la tano pamoja na kikapu bila kulitoa chungwa kutoka kapuni.
S Sugi JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 1,392 Reaction score 295 Jun 21, 2011 #24 MAMMAMIA said: Hakuna kuku hata mmoja atayeangalia juu kwani kuku huangalia kushoto au kulia tu. Click to expand... macho matano
MAMMAMIA said: Hakuna kuku hata mmoja atayeangalia juu kwani kuku huangalia kushoto au kulia tu. Click to expand... macho matano
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jun 21, 2011 #25 PingPong said: jogoo hatagi yai Click to expand... Wanataga..
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Jun 23, 2011 #26 Katavi said: Wanataga.. Click to expand... Na kweli..tuliambiwaga ati jogoo akishazeeka sana huwa anataga yai moja!!!
Katavi said: Wanataga.. Click to expand... Na kweli..tuliambiwaga ati jogoo akishazeeka sana huwa anataga yai moja!!!
Kibirizi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 604 Reaction score 149 Jun 23, 2011 #27 Kuku huangalia juu kwa jicho moja upande mmoja ingawa ana macho mawili.