Chemsha Bongo # 4: Hapa ni wapi wanauza magimbi?

Chemsha Bongo # 4: Hapa ni wapi wanauza magimbi?

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
Huenda Ulishawahi kusimama hapa na kununua Magimbi. Unakumbuka ni wapi?

2014-04-25 08.06.05.jpg
 
  • Thanks
Reactions: RR
Nilishawahi kununua magimbi hapo...ila nilisahau jina!!!
Asante kwa kubusti memory card yangu....

hongera mkuu, ni lilondo, kabla hujatiririka na slopes za lukumburu kwenda songea, kamata like
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom