Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,737
- 24,821
sasa huu upuuzi ndio nini? We jamaa uko darasa la ngapi?My people hope mko poa
1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake?
2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki
3. Ni sayar gani ambayo inazunguka anticlockwise kinyume na Sayar zote
Ni hayo tu!
Ndio maana kasema ni chemsha bongo .sasa huu upuuzi ndio nini? We jamaa uko darasa la ngapi?
UmepataVENUS
Sio anticlockwise ni Clockwise3. Ni sayar gani ambayo inazungukaanticlockwisekinyume na Sayar zote
YeahUmepata
Uzi ufungwe ila amekosea
Sio anticlockwise ni Clockwise
Rotation axisHivi ikuwa kwenye hiyo sayari unajuaje kaskazini ni upande huu!!
Umeambiwa chemsha bongo,,usichoelewa hapo ni nini expert wangusasa huu upuuzi ndio nini? We jamaa uko darasa la ngapi?
Kumbuka upo kwenye sayari nyingine!!Rotation axis
chemsha bongo? Haya bhana!Umeambiwa chemsha bongo,,usichoelewa hapo ni nini expert wangu
sasa mkuu kweli hichi ni nini unatetea? We hauoni labda jamaa katoka kusoma mambo ya anga za juu sehemu fulani sasa kwa ushamba wake akaleta humu?Ndio maana kasema ni chemsha bongo .
Naweza kusema SIJUI, na asante kwa maswali mazuri ya Secondary yasiyo na kichwa wala Mguu...My people hope mko poa
1. Ni Sayar gani ambayo siku yake ni ndefu kuliko mwaka wake?
2. Ni Sayar gani ambayo jua linachomoza magharibi na kutua mashariki
3. Ni sayar gani ambayo inazunguka anticlockwise kinyume na Sayar zote
Ni hayo tu!
Bwashee kumbe ukiwa na stimu majibu yanakuja tu,hongera sanaVENUS
Acha fikra potofu wewe ndugu yangu,hapa tunachangamsha bongo zetusasa mkuu kweli hichi ni nini unatetea? We hauoni labda jamaa katoka kusoma mambo ya anga za juu sehemu fulani sasa kwa ushamba wake akaleta humu?
Wanatumia rada kunasa mawimbi radio ndani ya uso wa Venus, na yale mawimbi yanarudi na picha za satellite zikionyesha uelekeo wa mzunguko ndani ya Venus.Kumbuka upo kwenye sayari nyingine!!