chemsha bogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chemsha bogo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by wa home, Mar 22, 2012.

 1. w

  wa home JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  salaam ndege mia ndege wakasema sisi sio mia ukitaka tuwe mia ongeza wengine kama sisi na nusu yetu na robo yetu na wewe mwenyewe je ndege walikuwa wangapi?
   
 2. M

  MARTINSICHILIMA Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  let X be the present number.
  Then,
  ongeza wengine kama sisi na nusu yetu na robo yetu na wewe mwenyewe = x + x + x/2 + x/4 + 1
  Thats,
  x + x + x/2 + x/4 + 1=100
  we get,
  11x = 396
  x=36

  walikuwa ndege 36.
   
 3. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hao ndege mbona wabishi sana.
   
 4. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  hahahaaa...ndege mia. jamaa kapata.
   
 5. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndege haongei,aliejibu 36 amekosa.
   
 6. w

  wa home JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 232
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  We noma mku!.
   
 7. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Duuuh!
  Ndege wanajua mathematics kama mwanangu Ndinda !
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikatafute Calculator nakuja
   
 9. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  Wa ukweli !
  Umepiga x hadi kimeeleweka babake... Gooooo! ngoma kati !
   
 10. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ukijumlisha ndege wote na yeye mwenyewe utapata ndege 99 na binadamu(mtoa salam) mmoja.
   
 11. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  tehe tehe ! Hapo dawa yake four figure tu. Kama huna hiyo ndude,ingia google (si ndiko majibu yote yapo).
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  This is great!
  Umenikumbusha mwalimu wangu flan hivi wa hesabu alikuwa akiitwa Kiringo! Huyu alinifanya niipende hesabu!
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Google siku hizi inadanganya
   
 14. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ***
  Umenikumbusha,
  niliona hilo kwenye matokeo ya kidato cha nne. Shule ina div 1 kadhaa, ukigoogle wanakwambia haina hata mwanaasha 5 !
   
Loading...